Search this site or the web

Site search Web search

KIDATO I KIDATO II KIDATO III KIDATO IV MAZOEZI

KIDATO CHA TATU

   10.0 SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

10.2.11 Mnyambuliko wa vitenzi

a) Kauli za vitenzi vya kibantu:

i) Kutendeshewa

ii) Kutendesheana

iii) Kutendesheka

iv) Kutendama

v) Kutendata

vi) Kutendua

vii) Kutenduka

 

b) Mnyambuliko wa vitenzi vya silabi moja katika kauli

mbalimbali: ja, nywa, nya, pa, fa, Ia, cha, pwa, chwa, wa

 

c) Mnyambuliko wa vitenzi vyenye asili ya kigeni k.m.

samehe, ghairi, tubu n.k. katika kauli mbalimbali