Search this site or the web

Site search Web search

KIDATO I KIDATO II KIDATO III KIDATO IV MAZOEZI

2.0 SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

2.2.8 Uakifishaji

Alama za kuakifisha:

1)         Nuktalkitone/kikomo (.)

2)         Mkato/kipumuo/kituo/koma (,)

3)         Nukta mkato/semi koloni (;)

4)         Nukta pachalnukta mbili/koloni (:)

5)         Kiulizi/kiulizo (?)

6)         Alamahisi(!)

7)         Alama mtaj olza kunukuu/za usemi (““)

8)         Mkwajulmshazari (I)

9)         Kistari kifupi ( - )

10)       Kistari kirefu ( — )

11)       Mstari ( ______ )

12)       Ritifaalkibainishi (‘)

13)       Mabano/vifungo/ParafldeSi( ), [ ]

14)       Herufi kubwa (H) na herufi ndogo (h)

15)       Herufi nzito (Hh)

16)       Herufi miazo/italiki (H

17)       Nukta za dukudukulmdokezo (...)

18)       Kinyota (*)